Publication Date
26 August 2019
Publisher
Saga Egmont
Collection
FC Mezzi
Technical Characteristics
Language
Swahili
Pages
25 Pages
File Size
0.1 MB
ISBN 13
9788726254679
Format
Epub
Protection
DRM Watermark
shield_lock
Permissions
- Print Yes
- Copy/Paste Yes
- Share Yes
accessibility
Accessibility
No data available
FC Mezzi 2: Kupambana Hadi Mwisho
share
Mpira wa miguu sio kuhusu kuishi au kifo - ni muhimu sana! Jake, Nick, Peter na wachezaji wengine wa FC Mezzi wanafanya vizuri kwenye mashindano. Lakini je, wanaweza kushinda na kupanda hadi ligi kuu? Haijawahi kutokea kwenye timu ya mchanganyiko hapo awali. Wapinzani wao ni wazuri sana na wachezaji wa FC Mezzi ni majeruhi. Ni vigumu kuwapata wachezaji wapya kwa muda huu mfupi, lakini inatokea hivyo kwamba mvulana mpya amelekea mjini. Ana jina maarufu la: Zlatan. Lakini je, anaweza kucheza mpira wa miguu? Na je, anapenda kufanya hivyo?FC MezziMpira wa miguu sio kuhusu kuishi au kufa - ni muhimu sana! Jake na marafiki zake walianzisha timu yao wenyewe, FC Mezzi. Tunafuatilia michezo yao ya mazoezi, mashindano na ya kirafiki ya zamani na mipya. Pia kuna mambo ya mapenzi kidogo. Mfululizo huu unahusu kufurahia michezo!Daniel Zimakoff alizaliwa mwaka 1956 na mkutubi aliyesomea. Kwa mara ya kwanza mwaka 1980 aliandika mfurulizo mkubwa wa vitabu vya watoto na ashawahi kupata Tuzo ya Vitabu vya Watoto kuto kwenye wizara ya utamaduni.
Read more
Read less
Smartbook
What is a Smartbook?
How to read this smartbook?
Publication Date
26 August 2019
Publisher
Saga Egmont
Collection
FC Mezzi
Technical Characteristics
Language
Swahili
Pages
25 Pages
File Size
0.1 MB
ISBN 13
9788726254679
Format
Epub
Protection
DRM Watermark
shield_lock
Permissions
- Print Yes
- Copy/Paste Yes
- Share Yes
accessibility
Accessibility
No data available
Readers Reviews
Login
No reviews found. Share your insights with others.